Header Ads Widget

VURUGU ZAVURUGA UCHAGUZI CHADEMA MKOA WA IRINGA





Na Matukio Daima App

 Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mungai zilifika kwenye viwanja hivyo na wajumbe kubaki ndani ya magari kwa dakika 35 na Kisha kushuka kwa mpangilio maalumu na kwenda kuketi eneo maalumu la mkono wa kushoto ndani ya ukumbi huo .


Kama walivyoingia wajumbe wa awali ndipo ndani ya dakika 10 baadae ikiwa ni saa 7:45 hivi Costa Moja aliyobeba wajumbe wanaosadikika kumuunga mkono Chengula aliwasili ikiwa na wajumbe waliojaa na wengine kusimamia japo hawakuchukua muda zaidi waliingia ukumbini  na kuketi mkono wa kulia wa ukumbi .

Dalili hizi Mbili zilionesha wazi jinsi ukubwa wa makambi ya wagombea hao japo vihoja vya wajumbe na viongozi havikujificha ukumbini hapo .

Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mungai hakutaka kabisa kuzungumzia vurugu vilizojitokeza Wala mchakati mzima wa zoezi la Uchaguzi huo kuwa ni mapema kusema chochote.

Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mchungaji Peter Msigwa ambae alituhumiwa kuvuruga Uchaguzi huo akizungumza kwa njia ya simu alisema hausiki na vurugu hizo na yeye hakuwa mgombea katika Uchaguzi huo .

Hata hivyo Uchaguzi wa mwandishi wa habari hizi umebaini kuwa barua ya Kimbe kukatiwa rufaa ilitoka makao makuu Taifa baada ya Servelin Mtitu aliyekuwa amegombea nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Wazee wilaya ya Iringa Vijijini kukata rufaa kupinga umri wa Kimbe kuwa si Miaka 50 kama alivyojaza fomu bali ana Miaka chini ya 50 ambayo haimruhusu kuwa mgombea Baraza la Wazee ama mpiga kura kwenye Uchaguzi wa Baraza la Wazee .


Frank Nyalusi ni mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa mjini alisema ndani ya Chadema Kila nafasi imewekewa utaratibu wa mhusika na Miaka yake mfano Wazee ni kuanzia Miaka 50 si chini ya hapo na Vijana ni kuanzia Miaka 18 .


Katika Uchaguzi huo nafasi ya Baraza la Vijana wa Chadema mkoa (BAVICHA) Nector Kitiga alimshinda kwa kupata kura 13 ndidi ya  Vitus Nkuna aliyepata kura 9.


Huku nafasi ya Braza la wanawake wa Chadema mko.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS