Header Ads Widget

AJALI YAUA PADRI NGOWI NA ASKOFU WA KKKT MWANGA ,RAIS SAMIA ATUMA SALAMU ZA POLE

 


RAIS  Dr Samia Suluhu Hassan atuma salamu za pole kwa Askofu mkuu wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Malasusa kufuatia Kifo Cha Askofu Sendoro aliyefariki kwa ajali .

Kupitia ukurasa wake wa  X   Rais Dkt Samia ameandika kuwa amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba Askofu Chediel Elinaza Sendoro, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga. Natoa pole kwa Mkuu wa KKKT Baba Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Maaskofu wote, waumini, familia, ndugu, jamaa na marafiki.

 Nawaombea faraja kwa neno kutoka katika Biblia Takatifu Kitabu cha Waebrania 13:14; “Maana hapa hatuna mji udumuo, bali twautafuta ule ujao.”


Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. 


Amina.


Padri Nicolaus Ngowi wa shirika la Damu Azizi ya Yesu amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea alasiri ya leo mkoani Kilimanjaro.

Taarifa rasmi ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa shirika Provisio ya Tanzania, Pd Vedasto Ngowi.


Wakati huo huo Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku huu, Septemba 9, 2024 baada ya gari alilokuwa akiliendesha kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Kisangiro wilayani Mwanga.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.


Tangazo 👇
KAMA UNAHITAJI KUUZA AMA KUNUNUA CHOCHOTE BONYEZA LINK HII THE ICON WAPO KWA AJILI YAKO



 SOMA SIMULIZI

NIMEMRUDISHA MPENZI WANGU ALIYECHEPUKA NA BOSI WAKE 


Picha ya mtandaoni haihusiani na Simulizi hii 

Jina langu ni Samsoni kijana wa miaka 26, naishi Dar es Salaam, Tanzania, nikiwa kazini kwangu nilikuwa na mahusiano na binti  ambaye yeye alikuwa akifanyia kazi zake Morogoro.

Baada ya mwezi mmoja nilimpigia simu kuwa mwezi unaofata nitaenda kwake, siku ilivyofika nikijiandaa ili nifike kwake, lakini hakuweza kupokea simu yangu nikajiuliza kimempata nini mpaka hapokei simu yangu?.

Nikasema hapa lazima kuwa na kitu, sikutaka kubaki, nilifika hadi kwake, kabla sijaingia ndani nilisikia sauti ya mwanaume, nikaingia kimya kimya bila yeye kujua nilifika hadi chumbani kwake.

Nilichokikuta sikuamini nilimfumania yeye pamoja na Bosi wake, niliumia sana, kuna akili ikawa inanituma, sijui nimpige, nikaangalia kushoto na kulia kupo sawa nikaelekea sebuleni. 

Nikasikia sauti unaniambia naomba unisamehe, alikuja sebleni nikampa kibao kimoja chamoto mpaka chini huku machozi yakimtiririka  
Asubuhi na mapema mimi niliondoka kwake na kurudi Dar, Bossi wake alijikuta akitetemeka na kudondoka chini, niliumia sana kwa kweli kama mapenzi ndio yalivyo, mimi sitoweza kuvumilia. 

Nikiangalia huyu mwanamke bado nampenda nifanyeje ili aweze kuachana na hayo anayoyafanya, niliweza kumpigia simu rafiki yangu kumuelezea yaliyotokea akanijibu usijali; mimi nitakusaidia ila sio mimi ambaye nitafanya mambo yako yakae sawa  nitakupa hii namba utampigia  muda wowote utakaotaka wewe.

Alinipatia namba hizi +255618536050 za Dr Bokko, sikupoteza muda, nilipiga saa ile ile nikamuelezea Dr Bokko jinsi mahusiano yangu yalivyo.

Akajibu sawa nitakusaidia ila kwa sababu upo mbali naweza nikakutumia kwenye Basi tiba yangu ikakusaidia. 

Nashukuru Dr Bokko aliweza kuituma huku akiniambia tumia baada ya siku tatu utaona mabadiliko, haikupita muda nikaona mabadiliko makubwa, mpenzi wangu alinipigia simu kuwa Jumamosi hii anakuja Dar, nilifurahi sana. 

Mpenzi wangu aliweza kuwasili mida ya jioni kama saa 12 hivi nilimpokea kwa furaha sikuweza kumuomyesha kuwa nimekasirika.

Tuliingia ndani nikaagiza chakula kabla hatujaanza kula mpenzi wangu alitoa machozi huku  akiniambia nimsamehe kwa yote aliyokuwa akifanya. 

Nilimkumbatia mpenzi wangu huku machozi yakimtiririka, nilimsamehe kabisa mahusiano yetu yaliendelea kama zamani, namshukuru Dr Bokko kwa kunisaidia katika mahusiano yangu kwa sasa  ni mazuri
Mwisho. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI