Header Ads Widget

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA FEBRUARI 10/2023:AJALI YAUA 12,UMEME WAKWAMISHA HUDUMA MUHIMBILI KWA SAA TANO....RAIS SAMIA 'KUFYEKA' VIONGOZI MIZIGO




















Watu 12 wamepoteza Maisha na wengine 63 wamejeruhiwa baada y abasi kampuni ya Frester lililokuwa likitokea Bukoba kwenda Dar Es Salaam kugongana uso kwa uso na lori kampuni ya Texas majira ya saa saba usiku

Tumezungumza na mkuu wa wilaya ya Kongwa Remidius Mwema ambaye amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa saba usiku wa Februari 09,2023 katika Kijiji cha Silwa eneo la pandambili wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma

“Basi kampuni ya Frester lilikuwa linatokea uelekeo wa Dodoma kuelekea Mororgoro eneo hilo kulikuwa na lori jingine lilikuwa limebeba mifugo ambalo lilikuwa na mwendo mdogo wakati huyo bwana ansajasribu kulipita kuliovertake mbele kukawa na roli jingine linakuja ambalo linatokea Morogoro kwenda Dodoma lilikuwa limepakia mifuko ya simenti kwahiyo wakakutana katikati katika kutaka kupisha na wakagongana uso kwa uso kwahiyo majeruhi ni 63 na waliofariki ni 12 wanaume nane na wakike ni wanne” DC Mwema

 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI