Header Ads Widget

MIKE NAYLOR NDIE MUONGO ANAYESHIKA NAFASI YA 7 DUNIANI

 

Pichani ni mzee Mike Naylor

Huyu bwana ni Muingereza anayesadikika kuwa mtu  Muongo kuliko wote duniani,

Katika mashindano ya kutafuta mtu  muongo zaidi (The biggest Liar Competition) yanayofanyika mwezi wa 11 kila mwaka nchini Uingereza huyu bwana ameshinda mara 7 https://t.co/6WpDs5VfPw

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI