Picha hii mfano tu haihusiani na tukio la moto Mwanza
Watu watano wa familia mmoja amepoteza maisha baada ya kuteketea Kwa moto huko jijini Mwanza .
Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza.
0 Comments