Header Ads Widget

TIMU YA KATA YA VIKINDU MABINGWA ULEGA CUP 2021

 

Naibu Waziri wa mifugo na uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mheshimiwa Abdallah Ulega akikabidhi kombe la ushindi wa Ulega Cup-2021 kwa uongozi wa timu ya Kata ya Vikindu Diwani wa kata Mohamed Mahundu na Nahodha wa timu hiyo Hamimu Musa (aliyevaa medani hapo katikati) katika viwanja vya shule ya msingi Mkuranga baada ya kuishinda timu ya Kata ya Njia nne magoli 2 kwa 1 iliyochukua nafasi ya pili na nafasi ya tatu ilichukuliwa na timu ya Kata ya Kimanzichana (Scolastica Msewa)


Timu na uongozi wa timu ya Kata ya Vikindu wakishangilia ushindi wa magoli mawili kwa moja katika Fainali ya Ulega Cup 2021 baada ya kucheza na Timu ya kata ya Njia nne mchezo uliochezwa katika viwanja vya shule ya msingi Mkuranga ambapo Naibu Waziri wa mifugo na uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mheshimiwa Abdallah Ulega alikabidhi kombe la ushindi la Ulega Cup 2021. Picha Scolastica Msewa

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI