Header Ads Widget

Ara: Kwanini samaki hawa wanaovuliwa Balochistan wanauzwa bei ghali sana ?


th

CHANZO CHA PICHA,PETER KYNE

Wavuvi katika eneo la Pakistan la Balochistan wamempata samaki aina ya Ara karibu na mpaka wa maji wa nchi hiyo na Iran. Samaki hawa wa kipekee aina ya papa ni nadra sana kupatikana na wanakaribia kabisa kutoweka duniani. Samaki huyu sio kawaida kupatikana nchini Pakistan.

Samaki aina ya Ara mwenye asili ya papa ni moja wapo ya samaki walio katika hatari ya kutoweka na hivyo serikali za majimbo ya Sindth na Balochistan zimeweka marufuku ya uwindaji wao na kuwauza kibiashara tangu mwaka 2016 chini ya sheria ya majimbo. Hatahivyo, samaki huyu bado anauzwa kimagendo hadi leo.

Kwa mujibu wa Mfuko wa Dunia kwa ajili ya raslimali za asili (WWF), ambalo ni shirika linalowalinda wanyamapori, samaki huyu aina ya ara alinaswa katika wavu wa kuvua tarehe 29 Oktoba katika eneo la Gatar karibu na Jivani, upande wa Iran. It was sold in the local market.

Muazzam Khan, mshauri wa WWF , alisema kuwa eneo hilo lilikuwa mbali sana na hapakuwa na taraarifa kamili kuhusu urefu na uzito wa samaki. Kwa kubashiri kulingana na picha, samaki huyo anaweza kuwa na uzito wa kati ya kilo 70 hadi 80, alisema.

नायलॉनचं जाळं सर्वात मोठा शत्रू

CHANZO CHA PICHA,PETER KYNE

Maelezo ya picha,

Neti za nailoni ni adui mkubwa zaidi.

Mapema mwaka 2018, takriban samaki wa urefu wa futi alipatikana katika eneo la Kazar Creek lwenye mpaka wa maji wa jimbo la boundary of Sindh. Wavuvi wanadai walimpata samaki aliwa na uzito wa kilo 1320.

Je samaki aina ya Ara alipatikana wapi?

Samaki aina ya Ara alipatikana katika maeneo ya bahari ya Sindh na Balochistan nchini Pakistan. Ni samaki wa maji ya bahari na hapatikani katika bahari isiyo na mimea anasema Muazzam Khan, mshauri wa WWF.

Kizazi cha samaki hawa kiko katika maeneo ya Delta Sonamiani, Kalmat, Pasni, Jivani na Gwadar ya Balochistan, ambako pia wanapata chakula.

Kwa mujibu wa Britannica Encyclopedia, samaki aina ya Ara mkubwa zaidi ana urefu wa mita saba. Samaki huyu jike hutaga mayai ndani ya mwili wake. Samaki huyu ana umri wa miaka 10 na ana uwezo wa kuishi miaka kati ya miaka 25-30.

Idadi kubwa ya samaki aina ya wapipatikana katika miaka ya 1970 katika Pakistan na wakakamatwa.

आरा मछली (फाईल फोटो)

CHANZO CHA PICHA,DAVID WACKENFELT

Muazzam Khan amewahi kuishi katika eneo la Balochistan. Pia aliwahi kuishi kwa muda katika eneo la Pasni. Takriban samaki wawili wa aina hii walipatikana kule kila siku, anasema.

"Wakati ule, samaki hawa walipatikana kwa wingi walau kulikuwa na maeneo mawili ambayo uzio wake ulitengenezwa kwa meno ya samaki hawa. Meno matano hau mawili. Maeneo mengine yalikuwa na mipaka sawa na hiyo . "

Nyavu za nailoni ni adui mkubwa

Wavuvi hutumia nyavu za nailoni kutoka kwenye eneo la indus delta hadi kwenye mpaka wa majini wa Iran, anasema Bw Muazzam Khan.

"Tatizo la samaki hawa ni kwamba wana msumeno mbele ya midomo yao. Kwahiyo samaki wengine hawakamatwi, lakini wao hunaswa kwenye nyavu . Hawawezi kukata wafu na kuendelea. Kwahiyo sababu kubwa ya kutoweka kwa samaki hawa ni nyavu. "

Kulingana na ripoti ya National Geographic, Samaki aina ya Ara anakabiliwa na hatari ya kutoweka katika maeneo wanamoishi katika nchi zipatazo 20 

Takriban spishi mmoja ametoweka katika nchi 43. Nchi hizo ni pamoja na Marekani ambako samaki huyu hajawahi kuonekana tangu mwaka 1961.

Kulingana na jarida la masuala ya kisayansi -Advances Magazine, samaki huyu ametoweka katika mataifa ya China, Iraq, Haiti, Japan, Timor Leste, El Salvador, Taiwan, Djibouti na Brunei:CHANZO BBC

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI