Taarifa iliyotufikia hivi punde ni kuwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa Said Goha amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam kaimu katibu wa CCM mkoa wa Iringa James Mgego amethibitisha alipoulizwa na Matukio Daima Media kwa njia ya simu ,Goha alikuwa katibu wa CCM mkoa wa Iringa na wiki mbili sasa zimepita toka Katibu wa itikadi Paul Chacha alipomtamgaza kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM mkoa wa Iringa uliofanyika chuo cha UVCCM Ihemi kuwa amemsimamisha kazi kwa madai ya ulevi na kumtaka kuripoti makao makuu ya CCM kwa majukumu mengine na nafasi yake siku chache kukaimiwa na James Mgego ambae anakaimu hadi sasa.
siku Goha (Kushoto) alivyokabidhi ofisi kwa kaimu katibu wa Mkoa wa Iringa James Mgego
Goha akitoa neno la mwisho akiwaaga watumishi ofisi ya CCM mkoa wa Iringa
Goha akizungumza na MCC Salim Asas
Matukio Daima Tunaendelea kufuatilia Tutakujuza Zaidi .⬇️⬇️📢📢📢⬇️⬇️⬇️🔊🔊
FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2027 MEDALA HIGH SCHOOL IDODI IRINGA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0753549368 AU 0736313160
Post a Comment
0
Comments
MAGAZETI
NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI
TV News
World News
UZA NUNUA NASI LEO
Subscribe Us
MATANGAZO
TIBA YA UKANDAJI WA MGONGO, KICHWA KUTOKA NEEMA BEAUTY, SPA SALOON
0 Comments