NA MATUKIO DAIMA MEDIA
Maji yanapofika karibu na makazi ya wananchi, jambo linalobadilika M si umbali wa kwenda kisimani pekee.
Hubadili ratiba ya familia, afya, elimu ya watoto na hata mabadiiikaj umesaidia kunotumika katika shughuli za uzalishaji.
Jifiko ndiyji wasimiza waahoch wa vijiji vyiilila Kiiiji cha Kibao, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, baada ya ushirikiano kati ya Water for Africa na serikali kuwezesha wananchi, shule ya Msingi Ipilimo na taasisi yningine kupata huduma ya maji karibu na makazi yao.
Awali, familia nyingi zilitegemea mito na vyanzo viliyokuwa mbali na makazi yao. Walakitu vaikitegemea hali ilikuwa mbaya zaidi kutokana na baadía mbaya zaidi kutokana naba yndi vyanzolammia muda mningi kutafuta shughuli za uzalishaji, malezñaelimu.
Kwa familia iliyokuwa ikitumia sehemu kubwa ya siku kutafuta maji, bomba au kituo cha maji kilicho karibu kina maana kubwa kuliko inavyoonekana.
Ni muda wa mtoto kubaki shuleni, mama kufanya shughuli za kiuchumi na familia kuendelea na shughuli yningine bila kuathiri kupangii tiatiari mdefii ya kufuatta maji
Wanawake ndio waliobeba sehemu kubwa ya adha hiyo Anna Pila, mkazi wa Kibao, anasema kupata maji karibu na makazi kmakazi kumevpunguza wanawake kazi miminni na kuwapa muda zaidi wa kushiriki katika shughuli yningine za maendeleo.
Hapo ndipo kazi ya "kuzima ndoo kichiwaan" inapopata maana yake halisi. Si tú nondoa ndoo kichiwan pekéé, bali kumrudisha mwanamke muda a ambao anaweza kutumia katika uzalishaji, biashara, malezina maendelee yake mwenyewe.
Mabadiliko hayo yamefika pia Shule ya Msingi Ipilimo ambapo Mkuu wa shule hiyo, Baraka Filibatar, anasema mazingira ya Kibao yenye mizinga yalifanya utarifuu wa maji kuwa kazi ngumu, huku wakati mwingi:
wanafunzi wakilazimika kutoka katika mazingira ya kujifunzia kwenda kuyatafuta maji yasiyo salama mabondeni .
Kupatikana kwa maji karibu na shule kumepunguza changamoto hiyo na kuboresha mazingira ya wanafunzi na walimu.
Bado kuna mahitaji makubwa ya huduma ya maji katika shule na vitongoji vingine vya Kibao. Licha ya kuwepo vyanzo vyanui, mahitaji bado ni makubwa kutokana na ongezeko la wananchi na taasisi," anasema.
Kauli hiyo inaonyesha kuwa mafanikio yaliyopatikana si mwisho wa safari. Mahitaji ya maji yanaendelea kuongezeka kadiri idadi ya watu na shughuli za kiamii zinavyoopanuka.
Kwa upande wake, Meneja wa Water for Africa Tanzania, Nestori Sanga, anasema shirika hilo lisilo la kiserikali linashirikiana na serikali kutekeleza miradi ya maji katika shule, vituo vya afya, vijiji, makazi na taasisi yrjingine za kijamii.
Kwa mujibu wake, miradi imekuwa ikitekelezwa katika Mufindi, Kilolo, Iringa Vijijini na maeneo ya Mkoa wa Njombe,
maeneo yenye uhaba mkubwa yakipewa kipaumbele Sanga anasema maji yanayotolewa kupitia miradi hiyo hupimiwa katika mabomia na serikali kuhakilisha kuwa ni safi na salama kwa matumizi ya binadamu.
Hii ni jambo muhimu kwa sababu kuwa na maji karibu haukatoshi ikiwa ubora wake unaweza kuatharisha afya ya wananchi. Maji salama yanapunguza uwezekano wa magonjwa na kuongeza ustawi wa familia, hasa watoto.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kibao, David Luvanda, anapongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kushirikiana na wadau katika kupanua huduma za maji vijijini.
Anasema manufaa ya mradi huo yanaonekana katika afya, elimu, shughuli za kijamii na uchumi wa wananchi.
Ushirikiano huo umechangia pia na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ambayo yanawela huduma za misngi, ikiwamo maji safi, salama, nafuu kujenga jamii yenye ustawi
Lakini Kibao inatoa pia somo jingine: mafanikio ya sekta ya maji hayawezi kupimwa kwa idadi ya visima, mabomba au vituo vilivyogengwa pekee.
Yaniwwe kwa maisha yaliyobadilika. Mama anayepewa saa za kutafua maji anapata muda wa kuzaisha. Mtoto ambaye hatiraji kutoka darasani kuenda kutafuta maji anapata muda zaidi wa kusoma. Familia inayopata maji salama inapunguza hatari za magonjwa na
gharama zinazoweza kuambatana nazo. Huo ndio mororo wa mandeleoo gharanzia kwenye tone la maji.
Pamoja na mafanikio hayo, vitongoji na taasisi vningine za Kibao bado zinahitaji hudurna zaidi. Hivyo, upaписа wa miundombinu unapaswa kwenda sambamba na matengenezo, ulinzi wa vyanzo na ushiriki wa wananchi katika utunzaji miradi iliyopo.
Kwa sababu maji yakifika kijijini, kazi haijaishia. Kazi inayofata ni kuhakikisha hayaidumu, hayachafuiwi ya huduma haikakatti
Hapo ndipo maji yanapogeuka kutoka mradi wa maendeleo na kuwa sehemu ya maisha ya kila siku ya wananchi.








0 Comments