Header Ads Widget

WAZIRI KOMBO AMTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA WIZARA YAKE



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik,  Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelzwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara jijini Arusha.

Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mount  Kilimanjaro (MKICC)  kwenye eneo la Kijenge na ujenzi wa jengo la ofisi la Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwenye eneo la Lakilaki, Arusha.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI