Header Ads Widget

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA BANDA LA TET KATIKA UZINDUZI WA KKK


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza kwa makini mwalimu mhakiki wa maandishi ya Breili na michoro ya mguso kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Bi. Hadija Salum wakati akitoa maelezo kuhusu matumizi ya michoro ya mguso katika ufundishaji wa watoto wa awali, wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili, alipotembelea banda hilo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Baraza la mitihani (NECTA) leo Januari 29, 2026.



#KaziNaUtuTunasongaMbele

#TabasamuLaUtu

#MaendeleoEndelevu

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI