Na Costantine Mathias, Bariadi.
WAJUMBE wa Mkutano wa Mkuu wa CCM wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu wamejitokeza Kwa wingi kwenye Mkutano wa kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020/2025, Jimbo la Bariadi.
Wajumbe hao ambao ni Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka kata 31 wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Bariadi Alliance mjini Bariadi.
Mwisho.
![]() |
0 Comments