Header Ads Widget

WAKILI MOSES AMBINDWILE AMPONGEZA NGAJILO ATANGAZA KUMUUNGA MKONO

 


Mimi, Moses Ambindwile, mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), naomba kuungana na wanachama wenzangu katika haya yafuatayo:

1. Ninampongeza sana  Comrade Fadhili Ngajiro kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu.Nitaungana na chama changu  kumsapoti kwa kila hatua hadi ushindi wa kishindo upatikane.

2. Ninatoa pongezi za kipekee kwa Comrade Kenani Kihongosi kwa uteuzi huu muhimu alioaminiwa na chama.

3. Nawapongeza pia wote walioteuliwa kushika nafasi za Ubunge wa Viti Maalum pamoja na nafasi za Ubunge wa majimbo mbalimbali ya Iringa.

4. Nitaungana na wanachama wenzangu pamoja na viongozi wangu wa ngazi zote katika kusaka kura za Rais wetu, Mbunge wetu pamoja na Madiwani, kuhakikisha CCM inabaki kuwa chaguo la Watanzania na kushinda kwa kishindo.

Kazi na Utu – Tunasonga Mbele !

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI