Header Ads Widget

G55 WATANGAZA KUJIONDOA CHADEMA

 

Na Matukio Daima App.

DAR ES SALAAM.

Viongozi wa zamani waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu, na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Benson Kigaila, wametangaza rasmi kujiondoa ndani ya chama hicho, wakisema wamechoshwa na kile walichokiita kubaguliwa na ukandamizaji wa haki za wanachama.

Wakiwa na wanachama wengine wa kundi la G-55, wakiwemo John Mrema, aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, na Catherine Ruge, aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu, viongozi hao walizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kueleza kwa kina sababu za kuondoka kwao.

"Sisi tumeamua wote pamoja tunajiondoa Chadema, ili tuwaachie hicho chama waendeshe wanavyotaka, chadema imeachana na malengo", alisema Kigaila.

Kwa upande wake Mwalimu ambaye alikuwa mgombea mwenza (makamu wa rais) wakati wa uchaguzi Mkuu uliopita, alikazia kwa kusema

"hatukuingia chadema kufuata vyeo, hatukuingia chadema kufuata fedha, tuliingia chadema kwa sababu tuliamini kuchangia na klupigania mageuzi ya kweli katika nchi hii".

Kuhusu hatma yao kwenye siasa za Tanzania, kundi hilo la G-55 ambalo linahusishwa na Mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, ambao baadhi walikuwa sehemu ya sehemu ya Sekretarieti ya chama hicho chini ya yake wanasema hawatakwenda kujiunga na chama tagala, CCM.

Tunaondoka chadema, tutashauriana na vyama mbalimbali, tutawaambia baadaye tunakwenda wapi", alisema Kigaila na kuungwa mkono na Mwalimu ambaye alisema uelekeo sio CCM...."CCM haiwezi daarna letu".

Mpaka sasa, CHADEMA haijatoa tamko rasmi kuhusu uamuzi huo wa viongozi wake wa zamani.



SOMA SIMULIZI CHINI ⬇️⬇️⬇️

Usiku huo hakuweza kupata usingizi kisa mumewe" simulizi 

Katika jiji mahiri la Nairobi nchini Kenya ambapo visa vingi vya mapenzi huripotiwa kila mara, Jemah alijipata akiwa njia panda mara baada ya kuwa na ndoa yenye furaha kwa miaka mingi ila ghafla mambo yakabadilika.  

Ulimwengu wake wa mapenzi uliyumba pindi mume wake, Amoni alipoondoka nyumbani na kumuacha akiwa amevunjika moyo na kukata tamaa bila kujua nini cha kufanya kwa wakati huo. 

Hata hivyo, Jemah ni mwanamke shupavu na mwenye moyo uliojaa upendo, alikuwa amejenga maisha yake kwa upendo mkubwa ndani ya ndoa yake ingawa ilikumbana na changamoto kubwa. 

Inaelezwa kuwa hapo awali, matatizo ya kimaisha kama ukosefu wa fedha yalikuwa yameathiri uhusiano wao ambao haukuweza kuvunjika ila walipotengana ulisababisha maumivu makali. 

Siku za mwanzo bila Amoni zilikuwa zikimuuma sana Jemah, usiku hakuweza kupata usingizi, mito yenye machozi na ukimya wa kutisha ndani ya nyumba peke yake vilichukua nafasi kubwa katika maisha yake. 

Akiwa amedhamiria kuokoa kilichopotea, Jemah alianza harakati za kutafuta suluhu, alitaka kuona siku moja mume wake kipenzi Amoni anarejea nyumbani ili kuendeleza mapenzi yao ndani ya ndoa, hiyo ndio ilikuwa kiu yake. 

Siku moja Jemah alipokuwa akipitia mitandao ya kijamii alikutana na tovuti ya Kiwanga Doctors, alisoma kwa makini kuhusu huduma zao na mwisho wa siku aligundua kuwa wanaweza kumsaidia kumrejesha nyumbani mume wake, Amoni. 

Punde tu aliweza kuwasiliana nao na kufika ofisini kwao ambapo walimpatia dawa za mitishamba pamoja na kumfanyia matambiko maalum ya kusafisha nguvu giza ambazo zilikuwa zimeingilia ndoa yake.

Baada ya muda wa wiki moja, mume wake Jemah, Amoni aliweza kurejea nyumbani na kuomba msamaha kufuatia tukio lake hilo baya zaidi la kumuumiza mkewe, alisema hata hajui ni kitu gani kilichomsukuma kwenda mbali na ndoa yake. 

Kwa sasa wawili wanaishi pamoja kama ilivyokuwa mwanzo, mapenzi yao yamezidi kunoga kiasi kwamba hata majirani zao wamekuwa na wivu dhidi yao. 

Sasa hebu tuzungumze juu ya mchakato huu wa kumresha Amoni, dawa na matambiko ya Kiwanga Doctors ni kama kichocheo kilichoundwa kwa uangalifu kwa kutumia mimea na mila maalum. 

Lengo lake ni kufuta hila na uzembe wowote unaoendelea na kuunda nafasi ambapo upendo unaweza kuchanua tena.

Ikiwa unapitia kitu kama hicho au unahitaji msaada, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya. 

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati. 


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI