Header Ads Widget

IBADA YA KUMALIZA MSIBA CHRISTINA ALEX KIBIKI ALIYEKUWA KATIBU CCM KILOLO KUFANYIKA IJUMAA AGOSTI 29/2025

Familia ya Alex na Christina Kibiki inapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki wote kushiriki pamoja katika Ibada ya Kumaliza Msiba wa mpendwa wao,

Christina Alex Kibiki
(aliyekuwa kuwa Katibu wa Kilolo).

Ibada hii itafanyika siku ya Ijumaa, tarehe 29 Agosti 2025 nyumbani kwao Tosamganga (Banawanu).

Tunawaalika wote tufike kwa pamoja ili kushiriki ibada hii ya upendo, mshikamano na kumsindikiza mpendwa wetu kwa sala.

"Ee Bwana, mpe raha ya milele, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani."

Karibuni nyote.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI