MBUNGE wa Jimbo la Ismani Mheshimiwa William Lukuvi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi Madiwani wa Kata na Wenyeviti wa Mitaa katika jimbo la Ismani Mkoa wa Iringa walipohudhuria Kikao cha Tisa cha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2025 jijini Dodoma.
0 Comments