Header Ads Widget

DKT.NCHIMBI APONGEZA UTOAJI HUDUMA BORA ZA AFYA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE

 

Na Shomari Binda-Musoma 

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Dkt Emanuel Nchimbi emepongeza huduma za afya zinszotolewa kwenye hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Musoma.

Pomgezi hizo exitoa leo aprili 23,2025 alipoitembelea hospitali hiyo ikiwa ni kuangalia utekelezaji wa ilani kwenye ziara yake ya siku 5 mkoani Mara.


Amesema kwa taarifa aliyoipata na namna alivyoitembelea hospitali hiyo wanastahili kupongezwa.


Dkt. Nchimbi amempongeza mganga mfawidhi ws hospitsli hiyo,madaktari wauguzi na wale wote wanao wahudumia wananchi.


Amesema kwa kipindi cha muda mfupi wa utoaji huduma zaidi ya watu milioni 1 wamehudumiwa tena kwa huduma zilizo bora.


Katibu Mkuu huyo amesema changamoto alizozisikia  kupitia taarifa likiwemo suala la umeme wa uhakika anakwenda kulifanyia kazi na kutoa agizo kwa Wizara ya Fedha ndani ya wiki 2 kutoa fedha na kuifikia hospitali hiyo.

" Hapa hospitalini sio sehemu ya hutuba lakini nimeitembelea hospitali na kupokea taarifa na sina budi kutoa pongezi zangu.

" Nikupongeze pia mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Mtambi,uongozi wa hospitali na wale wote wanaotoa huduma kwa wananchi wetu",amesema.

Akimkaribisha Katibu Mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi esema licha ya eneo la afya mambo makubwa yamefanyika ya kimaendeleo mkoaniara na kutoa pongezi na shukrani kwa serikali ya swamu ya 6 chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.


Awali akitoa taarifa ya hospitali hiyo mgangs mfaeidhi wa hospitali Dk.Osmundi Dyegura amesema huduma bora zinaendelea kutolewa hospitalini hapo na moja ya changamoto ni kupatikana kwa barabara ya lami kufika hospitalini hapo.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI