Header Ads Widget

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA KWENYE KONGAMANO LA JUMIKITA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mmiliki wa AYO TV na millardayo.com, Bw.  Millard Ayo  (kulia) alipowasili kwenye viwanja vya maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kuwa mgeni rasmi katika  Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya  Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  na Uhuru wa Vyombo vya Habari .  Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya UDSM  mkoani Dar es salaam, Mei 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) kuhusu Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Uhuru wa Vyombo vya Habari.  Kongamano hilo lilifanyika kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) mkoani Da es salaam, Mei 21, 2024. 

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mtandao wa Kijamii Fullshangwe, John Bukuku akiwasilisha Mada katika Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii iliyofanyika Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa.Kogamano hilo limefanyika leo Mei 21,2024 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Matukio Daima media Francis Godwin katikati akiwa na Wanahabari wa mitandao kutoka mkoa wa Mwanza na Kagera 
Mkurugenzi wa Matukio Daima media Francis Godwin kushoto akiwa na washiriki wa kongamano la JUMIKITA 


Mwenyekiti wa JUMIKITA Shaban Matwebe akiwa na Mshiriki wa kongamano la JUMIKITA toka Kagera 




Mwanahabari Zacharia Nyamoga toka Iringa akiwa kwenye Banda la Global 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI