Header Ads Widget

JOKATE MWEGELO AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA KATIBU MKUU UVCCM TAIFA

 


NA WILLIUM PAUL. 



Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa  Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Fakii Raphael Lulandala, akimkabidhi nyaraka mbalimbali Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa wa sasa Jokate Urban Mwegelo (MNEC), ikiwa ni ishara ya makabidhiano rasmi ya ofisi katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Tambuka reli , Dodoma



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS