Header Ads Widget

OTHMAN KUWAPA NGUVU ACT WAZALENDO KWENYE MIKOA 5 BARA



Makamu Mwenyekiti wa ACTwazalendo Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atakuwa na ziara ya ujenzi wa Chama kwenye mikoa mitano ya Tanzania bara.


Makamu huyo wa Kwanza wa Rais ataanza ziara hiyo Januari 14 hadi 21 katika mikoa ya Ruvuma, Mkoa wa Kichama Selous, Mtwara, Lindi, Pwani na Dar es salaam.


Taarifa ya ACT Wazalendo imesema kwenye ziara hiyo Othman Masoud atazungumza na viongozi wa majimbo yote kwenye Mikoa hiyo mitano kupitia mikutano mikuu ya mikoa na kufanya shughuli nyingine za kisiasa.


Tangazo la nafasi za masomo👇




Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI