Header Ads Widget

WAZIRI MASAUNI ,MAJALIWA WASHIRIKI MAONESHO YA EXPO 2025 OSAKA JAPAN

 


Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya Dunia ya EXPO 2025 Osaka Japan

Leo  Mei 25,2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania(Tanzania National Day)






Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI