
Kabati ametoa nsaada huo wakati wa hitimisho la wiki ya vijana wilaya ya Kilolo iliyofanyika katika kata ya Boma la Ng'ombe.
Kabati amesema msaada huo wa vitanda na magodoro utapunguza changamoto ya kukosekana kwa vitanda kwa wagonjwa wanaotakiwa kupumzishwa kabla ya kupata rufaa.
Katika hatua nyingine Kabati ametoa msaada wa sukari, sabuni na chumvi kwa wazee wiojitokeza katika hadhara ya kukabidhi vitanda hivyo.
0 Comments