Juzi, vyombo vya habari vimetoa taarifa ya baba kutoka eneo la Mlandege Manispaa ya Iringa ambaye alimuua mwanae kwa kumnyonga huku akijirekodi.
mtoto Alvin Mgovano aliyeuwawa na baba yakeDkt Msowoya ambae pia ni mwimbaji wa nyimbo za injili Nchini alikuwa akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki, Kigango cha Mbigili Parokia ya Kihesa wakati alipo muwakilisha Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Justine Nyamoga kwenye uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya Mt Augustino.
"Ni vizuri kuzungumza na kukemea matukio haya ya ukatili yanayo utia doa mkoa wetu, viongozi wa dini wala msikae kimya kemeeni," amesema na kuongeza;
"Hii ni hatari, wakati Rais Samia Hassan Suluhu anapambana kuboresha miundo mbinu ya elimu, watoto wanafanyiwa ukatili bila hutu


.jpg)





0 Comments