Header Ads Widget

LULIDA APIGA JEKI UJEZI OFISI YA KLABU YA SIMBA LINDI.


Na Hadija Omary - Matukio Daima App, Lindi.


Mbunge wa kuteuliwa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Riziki Lulida amekabidhi Bati 30 zenye thamani ya Shilingi 780,000 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya tawi la simba sport club Mkoa wa Lindi.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo septemba 06/2023 katika mtaa wa uganda kata ya mikumbi Manispaa ya Lindi Mkoani ambako ujenzi wa ofisi hiyo unaendelea .

Makabidhiano hayo yamefanyika baina ya Ndugu Iddi Lulida kwa niaba ya mmbunge huyo na  makamu mwenyekiti wa Simba Sports Club Lindi Ndg Ahmadi Akatondola

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS