Header Ads Widget

CITY CENTER WAIGAGADUA STRETO FC


 

Ligi ya Wilaya imeendelea leo ambapo michezo ya hatua ya makundi imezikutanisha timu za City Center na Streto Fc, City Center wamefanikiwa kushinda mchezo huo kwa goli mbili (2) kwa moja (1).













Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI