Kamanda wa Kikosi Cha usalama barabarani mkoa wa Iringa (RTO) Mosi Ndozero akiwa na Majeruhi Eliza Kigulu alipoongozana na Madereva Wazembe kutembelea Majeruhi Leo baada ya mafunzo ya siku mbili
Madereva Wazembe wakiwa darasani kujifunza sheria za usalama barabarani Katika Ukumbi wa VETA
RTO Iringa Mosi Ndozero akiwa Katika Darasa la mafunzo
RCO Iringa ACP Issa Suleiman akijiandaa kufungua mafunzo Kwa niaba ya RPC Iringa Allan Bukumbi
RCO Iringa ACP Issa Suleiman akifungua mafunzo Kwa niaba ya RPC Iringa Allan Bukumbi
Madereva wakitembelea katakana ya viungo Bandia Kwa Majeruhi wa ajali Iringa
Viungo Bandia





0 Comments