Header Ads Widget

MAJALIWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KATI YA MSD NA JIMBO LA CHUNGCHEONGBUCK LA KOREA.



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  leo Oktoba 26, 2022 ameshuhudia  utiaji saini wa makubaliano  ya Ushirikiano baina ya Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) na Serikali ya Jimbo la Chungcheongbuck nchini Korea . Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akiwa na  Mtendaji Mkuu wa MSD, Tukai Lavere (wa pili kushoto) na Gavana wa Jimbo hilo, Kim Young Hwan ambao walitia saini makubaliano hayo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Korea, Togolani Mavura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  leo Oktoba 26, 2022 ameshuhudia  utiaji saini wa makubaliano  ya Ushirikiano baina ya Bohari ya Dawa Tanzania (MSD na Serikali ya Jimbo la Chungcheongbuck nchini Korea . Pichani,   Mtendaji Mkuu wa MSD, Tukai Lavere (wa pili kushoto) na Gavana wa Jimbo hilo Kim Young Hwan (wa pili kulia) wakitia saini makubaliano hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS