Header Ads Widget

DIAMOND PLATNUM AMPONGEZA MANARA KWA UBINGWA

 


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Staa huyo wa Bongo Fleva ameandika hayo huku akimpongeza Haji Manara baada ya  Yanga sc kutwaa ubingwa huku akisindikiza na maneno kwamba “Angesema mengi sana acha leo aishie hapa, Mungu ana nguvu sana kuliko fitna”

Ikumbukwe Yanga wametangazwa mabingwa baada ya ushindi wa goli 3 kwa 0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga ambapo wametangazwa baada ya kushinda mechi zote bila kufungwa hadi mchezo wao dhidi ya Coastal Union licha ya kusalia michezo kadhaa

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI