Mahakamani kuu Kanda ya Dar es Salaam Leo Juni 27,2022 imetoa zuiola muda Kuhusu kutofanyika chochote kwenye ubunge wa wabunge 19 walifukuzwa uanachama na chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Hadi pale mahakama itakaposikiliza rufaa yao.
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Si…
0 Comments