Upande wa pili wa shilingi toka uteuzi wa Steven Nyerere ufanyike
1.uteuzi umesababisha Nchi /watu wajue Kuna shirikisho la Muziki Tanzania
2.uteuzi wake umeonesha nafasi ya usemaji kwenye shirikisho ni nyeti Sana
3:kuteuliwa kwake tu Muziki wa wanamziki umeamka.
0 Comments