Header Ads Widget

SERIKALI YATIA MGUU MGOGORO BASATA

 


Waziri wa utamaduni Sanaa na michezo Mohamed Mchengerwa ametaka BASATA kuwaita Viongozi wa shirikisho la Muziki kushughulikia mgogoro unaoendelea baada ya Steven Mengele (Steve Nyerere)kuteuliwa kuwa msemaji.

Huku Steve Nyerere akiweka msimamo wa kutojiuzulu kihuni.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI