Amina Kiwanuka aliyewahi kuwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze afariki dunia leo .
Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete amemwelezea marehemu huyo kuwa alikuwa ni mmoja kati ya watendaji wazuri kwenye harakati za kuiletea Halmashauri hiyo maendeleo .
0 Comments