Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipowasili Ofisi kwake Masaki Dar es salaam. Novemba 5,2021
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango (wa katikati) mara baada ya kumaliza mazungumzo yao ofisini kwa Dkt. Kikwete Masaki Dar es salaam Novemba 5,2021
Post a Comment
0
Comments
MAGAZETI
NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI
TV News
World News
UZA NUNUA NASI LEO
Subscribe Us
MATANGAZO
TIBA YA UKANDAJI WA MGONGO, KICHWA KUTOKA NEEMA BEAUTY, SPA SALOON
0 Comments