Spika wa Bunge, Job Ndugai (Mb), akizindua Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote na semina kwa wanachama wa Chama
Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Margaret Sitta akifungua semina ya Chama hicho ilichokzinduliwa leo na Spika wa Bunge, Job Ndugai (Mb)
Katibu wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Jumanne Sagini akizungumza wakati wa uzinduzi na semina kwa Wanachama wa Chama hicho
Wajumbe wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote wakifuatilia kwa makini uzinduzi
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo akifunga semina ya Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Wawasilishaji mada kutoka Wizara ya Elimu, HakiElimu na CAMFED Tanzania baada ya uzinduzi wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote uliofanyika leo katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma, Novemba 5, 2021, Kuanzia kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, Mwenyekiti wa Chama cha Kibunge cha Elimu Bora kwa wote, Mhe. Margaret Sitta, Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo na Katibu wa Chama hicho, Jumanne Sigini
0 Comments