Rais Samia Suluhu Samia akimkabidhi Cheti Kiongozi wa mbio za mwenge Maalum wa Uhuru Kitaifa mwaka 2021 Luteni Josephine Paul Mwambashi leo mkoani Geita kwa kutambua mchango wake mkubwa baada ya kuongoza kukimbiza Mwenge huo katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.
0 Comments