Header Ads Widget

HUKUMU KESI YA OLE SABAYA ....

 


MAHAKAMA ya hakimu mkazi mkoa wa Arusha, Oktoba 15 mwaka huu, inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya jinai ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya (34) na wenzake wawili.


Awali Oktoba mosi mwaka huu, mahakama hiyo ilikuwa itoe hukumu ya kesi hiyo lakini iliahirisha hadi Oktoba 15 mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI