Header Ads Widget

MATOKEO KURA ZA MAONI UBUNGE CCM JIMBO LA NGORONGORO

Hayati Wiliam Ole Nasha

Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ngorongoro leo Oktoba 25, 2021 wamepiga kura za maoni kumchagua Mgombea atayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo, Baada ya tume ya Uchaguzi kulitangaza Jimbo hilo Kuwa wazi baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, William Tate Ole Nasha kufariki.



wagombea waliotangazwa katika kinyang'anyiro hicho wamejipatia kura kama ifatavyo;


1)Emmanuel Oleshangai amepata kura 420,


2)  Joseph Parsambei kura 187, 


3) Elias Ngorisa - 136,


4)  Patrick Nambolo - 61, 


5) Dr. Kokel Melubo - 56,


6) Moloimet Olorwas - 21


7) Mesha Pius - 19


8) Patrick Girigo - 10, 


9) Elizabeth Sinodya - 7,


10) William Telele - 7



11)  Daudi Haraka - 5, 


12) Elifuraha Laltaika - 4


13) Rose Njilo - 03


14) Elionora Sangei - 02


15) Leyan Sabore 01


16) Elias Nagore -01


17) James Taki - 0



Baada ya hapo majina yote yatatumwa uongozi wa ngazi za juu za Chama hicho kwa mijibu wa taratibu ili kupitisha jina moja la Mgombea atakayewakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Desemaba 11,2021.

Habari hii imeandikwa na mwandishi wa Matukio Daima Ngorongoro na watetezi Tv


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI