Header Ads Widget

MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMTEMBELEA FAMILIA MAREHEMU LUKUVI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea na kuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Vangimembe Lukuvi, katika mkazi yao Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 16 Aprili 2026. Wakati wa Msiba na Mazishi ya Kiongozi huyo, Makamu wa Rais alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya kikazi.



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI