Askari wa Uhifadhi daraja la tatu na mwanariadha, Elibariki Buko, ameibuka mshindi wa tatu katika mashindano ya mbio za kasi ya juu (one mile race) Sawa na 1.6 km yajulikanayo kama Hezekiel Sepeng Invitational – Continental Tour Challenger 2026, yaliyofanyika nchini Afrika Kusini.
Kupitia mashindano haya TANAPA ilipata nafasi ya kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana Tanzania hususan Hifadhi za Taifa Tanzania kwa kuhamasisha matumizi ya TANAPA GO App kama njia rahisi ya kupata taarifa zote za huduma za utalii, kupanga safari na fursa za uwekezaji zinazopatikana.
Pakua TANAPA Go App leo kupitia App Store au Google Play Store.
Hifadhi za Taifa Tanzania ziko kiganjani mwako.
#TANAPA #DestinationTanzania #TanapaGoApp #SportsTourism #SepengMarathon










0 Comments