Baba wa marehemu anasema walikuwa ugomvi marehemu na mwanamke waliyekuwa wanaishi nae (mke sogea tukae) mwanamke alitaka wauze nyumba ya marehemu wagawane.
mwanaume akawa anakataa, na mwanaume alikuwa haishi hapo anaishi kigamboni.
Mke alikamatwa na police wakati mume kapotea Bado mwili haujapatikana ndugu walisema wanamuhisi katika kubanwa akakiri amechonga hati fake ya nyumba na Kuna bwana mzanzibar ameandikwa majina kama mnunuzi wa hio nyumba.
Mke akawekewa dhamana na dada yake wakati Bado wanamtafuta marehemu mwili haujapatikana, alipofika nyumbani akatoroka Hadi Leo hajulikani alipo. (Dadake kakamatwa) hapa Ndio Utata Ulianza Sasa Baada Ya Mke Kusepa Mbele Mbele..
Mwili ukaja patikana nje ya nyumba yake hio Ya Chanika marehemu Alikutwa kavaa boxa tu na kaumia kichwani ndugu na majirani wanadai hajafia hapo inaonekana kafi Huko alipokua anaishi pale kaletwa kufukiwa Na Watu Fulani
Na majirani waliona watu wakichimba shimo siku za karibuni kama weeks kabla ya mwili kupatikana Ila hawakujua Nini kinaendelea Au Kuhisi.
Kwa Wale Mnaouliza Ilikuaje Mpaka Jamaa Akajulikana Alipo Mkasa Mzima Ndio Ulianza Hivi Katika Uchunguzi.







0 Comments