Header Ads Widget

WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU KAZI AJRA NA MAHUSIANO AKABIDHI KWA VIJANA 84


Wazir wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano akikabidhi baadhi ya Vitendea Kazi kwa Vijana 84 walionufaika na Programu ya COMHESWA Leo Tarehe 9 Januari 2026 Katika Hotel ya Peackok Hotel Jijini Dar es Salaam.

Wanufaika wa programu maalum ni vijana ambao walihudhuria Mafunzo ya Amali na ujasiriamali yanayotolewa na COMHESWA kwa lengo la Kuwapatia ujuzi, Kuimarisha uwezo wao wa kujiajiri na kuendelea kuwa na Maendeleo endelevu katika shughuli Za kiuchumi.

Aidha katika hafla hiyo Waziri Sangu amekabidhi Mashine ya Ufundi Seremala, mashine za Saluni, Jokofu (Fridge) Pamoja na Bajaji kwa wanufaika hao.




 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI