Header Ads Widget

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AZINDUA JENGO LA AFISI YA UHAMIAJI NA MAKAZI YA ASKARI PEMBA


Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari lililopo wilayani Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba, watano kushoto ni  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene,watatu kulia ni Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais(SMZ),Hamza Hassan Juma na wanne kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala.Uzinduzi huo ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kulia) akipiga makofi pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(wapili kushoto),Kamishna Jenerali wa Uhamiaji.Dkt.Anna Makakala(wakwanza kulia) na wakwanza kushoto ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan, wakati wa  Uzinduzi wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari,wilayani Micheweni,mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni  sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Naibu Kamishna wa Uhamiaji,Tatu Burhani kabla ya uzinduzi  wa Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari,wilaya ya Micheweni,mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni  sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Watatu kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene na wakwanza kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,Hassan Ali Hassan.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,akiteta jambon na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene(wakwanza kushoto) na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dkt. Anna Makakala(watatu kushoto), baada ya kutembelea Jengo la Afisi ya Uhamiaji na Makazi ya Askari lililopo wilayani Micheweni,mkoa wa Kaskazini Pemba. Uzinduzi huo ni sehemu ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI