Header Ads Widget

SERIKALI IMEJIPANGA KUHAKIKISHA USALAMA DISEMBA 9 UTAKUWEPO - GERSON MSIGWA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Msemaji wake mkuu Gerson Msigwa imesema kuwa inatambua uwepo wa fununu kuhusu Maandamano yanayotajwa kufanyika Disemba 9.2025 

Msigwa amesema hayo leo Novemba 23.2025 Jijini Dar es salaam alipokuwa katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari 


Aidha amesisitiza kuwa Serikali imejapanga kama ilivyokawaida siku zote  kuhakikisha siku hiyo pia usalama utakuwepo pia  endapo vitatokea viashiria vya Vurugu mbalimbali ipo kuwalinda Watanzania na mali zao

 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI