Kijana wa Matukio Daima Media Watson Amin aleo amekuwa mwenye furaha kubwa baada ya kuhitimu Bachelor Degree of Banking and Microfinance (Shahada ya Benki na Huduma ndogo za kifedha) katika chuo kikuu cha RUCU Iringa ,Matukio Daima Media tunampongeza sana kwa hatua hii kubwa







0 Comments