Header Ads Widget

MHANDISI HAMIS NDWATA ACHUKUA FOMU YA UMEYA MANISPAA YA MOROGORO

 


NA MATUKIO DAIMA MEDIA
Mhandisi Hamis Ndwata Amechukua na kurejesha Fomu ya kugombea nafasi ya Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro.

Mhandisi Ndwata alichukua Fomu tarehe 20/11/2025 na kuirejesha tarehe 21/11/2025 katika ofisi za Chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Morogoro 

Akizungumzia zoezi hilo,Katibu wa Umoja wa Vijana(UVCCM)Wilaya ya Morogoro mjini Khalid Hossein King amesema kuwa zoezi Hilo linatarajiwa kukamilika Novemba 21 majira ya saa kumi jioni huku muitikio ukiwa mkubwa kwa wanachama waliojitokeza kuchukua fomu hizo.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI