Header Ads Widget

WATAKAOJIZIMA DATA OKTOBA 29, TUTAWAFANYA 'NETWORK' ZISOME- CHALAMILA

 

Na Matukio Daima Media

"Zoezi linaloendelea tarehe 29 mwezi huu sisi Dar Es salaam tuna wapigakura waliojiandikisha Milioni nne laki nne na ishirini, mia tisa kumi na mbili, watu hao Mhe. Waziri Mkuu tunakuthibitishia kuwa wote watakaojitokeza kupiga kura hakuna jambo lolote baya litakalowakuta. Nyanyukeni, mkapige kura, yale makundi machache ambayo yanajinasibu katika Mitandao achieni kwenye vyombo vya dola, watashughulika nao vizuri kabisa bila kelele na ninyi mtapiga kura zenu bila kelele.

.... Wanaojizima data, tutawawasha data ili network ishike vizuri, waone kinachoendelea na sisi tunaitwa 'WANACHOTAKA, TUNATAKA". Mhe.Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Leo Jijin Dar es salaam alipokutana na Makundi Maalumu Ikiwemo Mama lishe na Baba lishe, Machinga, Vijana na wadau Mbalimbali leo Ijumaa Oktoba 17, 2025.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI