Mjumbe wa NEC na aliyekuwa mtia nia wa ubunge Jimbo la Skonge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Munde Tambwe, ameendelea kujikita katika jimbo hilo akihamasisha wananchi kuichagua CCM katika uchaguzi ujao.
Amesema sababu kuu ya kuichagua CCM ni mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wake, ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya, shule, na miundombinu ya barabara, pamoja na uwezeshaji wa wananchi katika sekta ya kilimo.
Munde amewataka wananchi waendelee kuiamini CCM kama chama kinachotekeleza ahadi zake na kuboresha maisha ya Watanzania.





0 Comments