Header Ads Widget

MGOMBEA UBUNGE KILOMBERO CCM ABUBAKAR ASENGA APIGA KURA.

 

NA MATUKIO DAIMA MEDIA.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abubakar Asenga amekuwa mgombea wa kwanza kupiga kura nchini, baada ya kupiga kura mapema leo, Jumatano Oktoba 29.2025 katika kituo cha shule ya msingi Madukani kata ya Ifaraka majira ya saa 01:03 asubuhi



Asenga ambaye anagombea kutetea kiti hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo anachuana na wenzake saba kutoka vyama tofauti.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI