MATUKIO DAIMA MEDIA.
UNGUJA.Umati mkubwa wa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Makunduchi kushuhudia kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, sambamba na Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Hali hiyo imeonesha mshikamano na hamasa kubwa ya Wazanzibari kuwapokea na kuwasikiliza viongozi wao kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29 mwaka huu.






.jpeg)




0 Comments