Kila Mwanamke anatamani kuwa na uso Safi, UnaongAaa na wenye mvuto. Lakini Kwa Lulu, Hilo Lilikuwa Ndoto Ngumu Kwa Muda Mrefu. Lulu Alikuwa Msichana Mrembo, Mwenye Tabasamu La Kupendeza, Lakini Kwa Miaka Mingi Aliishi Na Changamoto Ya Chunusi Nyeusi Zilizojitokeza Usoni Mwake. Chunusi Hizo Hazikuwa Tu doa Kwenye Ngozi Yake, Bali Pia Ziliaburi Namna Alivyokuwa Akijiamini Mbele Ya Watu. Mara Nyinga Alijikuta Akikwepa Kupiga Picha, Au Akihisi Aibu Hata Kuzungumza Mbele Ya Umati.
“Kwa Nina Mimi?” Lulu Aliwahi Kujiuliza Mara Nyinga. Kila Alipotazama Kwenye Kioo, ALIONA ALAMA AMBAZO ZILIMKUMUSHA JINSI ALIVYOJARIBU KIKA NJIA BILA MAFANIKIO. Alinunua Krimu Ghali Kutoka Maduka Makubwa, Alitumia Dawa ALIZOPEWA NA MARAFKI, NA HATA KUFUATA TIBA ZA Mitaani Zilizokuwa Maarufu. Lakini Yote Hayakumsaidia. Wakatine Mwingine Chunusi Zilipungua Kidogo, Lakini Baada Ya Siku Chache Zilijirudia Kwa Nguvu Zaidi. Ilifiki Hatua Lulu Akaanza Kupoteza Matumaini.
Maisha ya kijamii Pia yaliabiriwa. ALIPOENDA KAZINI, BAADHI YA WENZAKE WALIMTOLEA MANENO YA KEJELI. Wengine Walimshauri Afanye “Makeup” Nzito Kuficha Chunusi, Lakini Lulu Alijua Hiyo Haikuwa Suluhisho La Kudumu. Moyoni Mwake Alitamani Kuona Siku Ambayo Angamka na Uso Safi Bila Doa, Siku Ambayo Angeweza Kutembea Hadharani Bila Kujihisi Vibaya.
Miaka Ikapita, Lulu Akawa Karibu Anakata Tamaa Kabisa. Lakini Siku Moja Alipokuwa Akisoma Mtandaoni Kuhusu Tiba Za Asili, Aliona Jina la Africure Herb likitajwa na watu Wengi Waliokuwa Wakisifia Matokee Mazuri. Watu Walieleza Walivyopona Matatizo Sugu Ya Ngozi, Wengine Wakipona Chunusi, Vipele na Madoa Kwa Kutumia Dawa Zao Zao Asili. Kwanza Lulu Alihisi Kusita, Akajiuliza Kama hii nayo ni moja ya ahadi Hewa Ambazo Ameshazizoea. Lakini Moyo Wake Ulimnongong’Oneza Ajaribu Kwa Mara Nyingine Ya Mwisho.
0 Comments